Skip to product
Connecting you to businesses across Tanzania
Angaza Directory Logo Angaza DirectoryDiscover. Connect. Grow.
Product galleryTake a closer look
Manufacturing

Jiko la Kisasa la Kupikia Vitumbua, Maandazi, Chapati na Mkate

Product price

TZS 3,000,000

AvailabilityOn request
Minimum order1 unit(s)

Ilala, Dar es Salaam

Shop this product Explore product details

Choose your options and review delivery in the seller’s store.

A closer look

About this product

Ongeza ufanisi na ubora katika biashara yako ya mapishi au jikoni kwako kwa kutumia Jiko la Kisasa la Kupikia Vitumbua 20, Maandazi 20, Chapati 4 na kuoka mikate 10 au zaidi ya gram 500 na pia lina sehemu ya kuumulia ngano ya kilo 10 . jko bora na la kisasa kutoka Miradi na Ubunifu Group.

Jiko hili limetengenezwa kwa chuma imara (stainless steel) ili kukupa udumu wa muda mrefu, usafi, na muonekano wa kisasa.

Sifa Kuu (Key Features): Matumizi ya Multipurpose: Limeratibiwa mahususi kwa ajili ya kuokea au kupikia vitumbua, maandazi, chapati, na mikate kwa urahisi zaidi.

Uwezo wa Kibiashara na Nyumbani: Linakidhi mahitaji ya matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi ya kibiashara (commercial use) kwenye migahawa, hoteli, au mama lishe.

Muundo Imara na Wa Kisasa: Limetengenezwa na kusanifiwa kwa umahiri wa hali ya juu ili kuhakikisha usalama na uimara wa muda mrefu.

Sehemu ya Kuhifadhia (Storage Space): Linakuja na makabati/sehemu ya chini ya kuhifadhia vifaa vyako vya jikoni kwa mpangilio mzuri.

Faida za Bidhaa Hii: Inaokoa Muda: Inakuwezesha kupika vyakula mbalimbali kwa wakati mmoja au kwa haraka zaidi.

Urahisi wa Kusafisha: Muundo wake wa chuma huwezesha kusafisha kwa urahisi na kudumisha usafi wa hali ya juu wa chakula.

Ubunifu wa Uhakika: Kila wazo lako la kibiashara linawezekana kupitia ubunifu huu.

Product reference
ANGAZA-PRODUCT-316
Category
Manufacturing
Location
Ilala, Dar es Salaam
Keep it close. Pass it on.

Share this product

Scan the QR code to open this product, or download its QR code and barcode for easy sharing.

More from MIRADI NA UBINIFU/TANZANIA DEHYDRATORS AND MACHINERIES
Report this product