Skip to product
Connecting you to businesses across Tanzania
Angaza Directory Logo Angaza DirectoryDiscover. Connect. Grow.
Product galleryTake a closer look
Manufacturing

Mashine ya Kuchanganya na Kutengeneza Sabuni ya Maji (Liquid Soap Mixer & Filling Machine)

Product price

TZS 3,500,000

AvailabilityOn request
Minimum order1 unit(s)

Ilala, Dar es Salaam

Shop this product Explore product details

Choose your options and review delivery in the seller’s store.

A closer look

About this product

Mashine ya Kuchanganya na Kutengeneza Sabuni ya Maji (Liquid Soap Mixer & Filling Machine)

Unatafuta fursa ya kuanzisha au kukuza biashara yako ya uzalishaji wa sabuni ya maji? Miradi Na Ubunifu Group tunakuletea mashine ya kisasa, imara na yenye ufanisi mkubwa kwa ajili ya kuchanganya na kufungasha sabuni ya maji kwa matumizi ya nyumbani au ya kibiashara!

Sifa Kuu za Mashine (Key Features)

Mfumo wa Pamoja (Integrated System): Inahusisha tanki la kuchanganyia (mixing tank), matanki ya kuhifadhia malighafi/maji, na meza yenye mfumo wa kujaza sabuni kwenye vyombo (filling station).

Uzalishaji wa Haraka na Salama:* Inarahisisha kazi ya uchanganyaji na kuhakikisha viungo vinachanganyika kikamilifu bila kutumia nguvu kubwa ya mikono. Ubunifu wa Kitalaamu (Heavy-Duty Frame): Imengenezwa kwa chuma imara kinachovumilia kazi nzito za kila siku.

*Matumizi ya Nyumbani na Viwandani: Inafaa kwa wajasiriamali wadogo, wa kati, pamoja na viwanda vinavyochipukia. Manufaa ya Kutumia Mashine Hii

  1. Huongeza Uzalishaji: Unatengeneza lita nyingi zaidi kwa muda mfupi.
  2. Kiwango cha Juu cha Usafi: Inapunguza kugusa sabuni kwa mikono wakati wa uzalishaji na ufungashaji.
  3. Kuokoa Gharama za Wafanyakazi: Mfumo mmoja unakamilisha hatua za uchanganyaji hadi ujazaji.

Weka oda yako leo na uanzishe biashara yako kwa uhakika!

  • 🌐 **Wabunifu: Miradi Na Ubunifu Group

"Once you choose Miradi Na Ubunifu, anything's possible!"

Product reference
ANGAZA-PRODUCT-315
Category
Manufacturing
Location
Ilala, Dar es Salaam
Keep it close. Pass it on.

Share this product

Scan the QR code to open this product, or download its QR code and barcode for easy sharing.

More from MIRADI NA UBINIFU/TANZANIA DEHYDRATORS AND MACHINERIES
Report this product