Jezi ya Young Africans SC 2026 Seasson – Home Jersey
Sold by Nyimbi SportwearTZS 30,000
Temeke, Dar es Salaam
Shop this product Explore product detailsChoose your options and review delivery in the seller’s store.
TZS 30,000
Temeke, Dar es Salaam
Shop this product Explore product detailsChoose your options and review delivery in the seller’s store.
Jezi ya Young Africans SC – Home Jersey
Onesha mapenzi yako kwa soka ukiwa umevaa jezi ya Young Africans SC yenye muonekano wa kisasa, rangi maridadi na design inayovutia. Jezi hii imeundwa kwa ajili ya mashabiki wanaotaka kuwakilisha timu yao kwa mtindo na kujisikia sehemu ya mchezo.
✨ Sifa za bidhaa:
Rangi: Navy Blue na Teal
Design ya kisasa na ya kuvutia
Kitambaa chepesi na kinachofaa kwa matumizi ya michezo
Mikono mifupi
Yanafaa kwa siku za mechi, mazoezi na matumizi ya kawaida
Inafaa kwa mashabiki wa Young Africans SC
Inapatikana kwa oda kulingana na size zilizopo
👕 Size: S, M, L, XL, XXL (kulingana na upatikanaji)
🛒 Agiza sasa kupitia Nyimbi Sport Wear na vaa jezi yako kwa kujiamini.
Nyimbi Sport Wear — Vaa Mchezo, Ishi Ushindi! 🏆💚💛