Mkombozi Wafugaji
Hq |songea mjini, Njombe
1.Tunauza dawa za mifugo aina zote kwa bei nafuu zaidi jumla na reja reja ikiwa ni pamoja na vifaa tiba
2.Kutoa huduma za matibabu kwa mifugo yote kama ng'ombe, mbuzi,kondoo,nguruwe,kuku,bata,n k
Sababu tuna wataalam waliobobea na kuthibitishwa na baraza la veterinarian Tanzania pamoja na wizara ya mifugo.
3.tunatoa huduma ya ushauri bure kabisaaaa
Ushauri huo unazingatia mabanda,eneo,aina ya mifugo inayofaa kufugwa katika eneo hilo
4.Tunatoa chanjo kwa mifugo aina zote,chanjo zetu zimethibitwa kuwa zina ubora wa hali ya juu,
5.tunauza virutubisho vyote vyenye protein nyingi kwa ajili ya kukuza haraka nguruwe na broiler
6.tunauza pia vitamins maalum kwa ajili ya kuku waliodumaa,tunasema huku kwetu hakuna kuku kudumaa,matokeo yake ni baada ya siku tatu tu
Explore Mkombozi Wafugaji's products
Browse selected products and services. Open details for more information before checkout.
No products available yet
This business has not published products or services for online ordering.