Fama Products
Main Office |Ilala, Dar es Salaam
Fama Products ni kampuni inayojishughulisha na usambazaji wa bidhaa bora za matengenezo ya magari na mitambo. Tumejikita katika kutoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zinazosaidia kuongeza ufanisi, usalama na maisha ya injini pamoja na mifumo mbalimbali ya magari.
Bidhaa Zetu
- Fama Coolant – Kioevu cha kupoza injini kinachosaidia kudhibiti joto, kuzuia kutu na kulinda mfumo wa kupooza wa gari.
- Fama Grease – Grisi yenye ubora wa juu kwa ajili ya kulainisha sehemu mbalimbali za magari na mashine, kupunguza msuguano na kuongeza uimara wa vifaa.
- Fama Battery Acid – Asidi ya betri za magari yenye viwango vinavyokidhi matumizi salama na yenye kutoa utendaji bora wa betri.
Dira (Vision)
Kuwa chapa inayoongoza Afrika Mashariki katika usambazaji wa bidhaa za ubora wa juu za matengenezo ya magari na viwandani.
Dhamira (Mission)
Kuwapatia wateja bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, huduma bora na suluhisho zinazoongeza ufanisi wa magari na mashine huku tukijenga uaminifu wa kudumu.
Maadili Yetu
- Ubora
- Uaminifu
- Huduma Bora kwa Wateja
- Ubunifu
- Uwajibikaji
Kwa Nini Uchague Fama Products?
- Bidhaa zenye ubora wa kuaminika.
- Bei shindani.
- Upatikanaji wa bidhaa kwa urahisi.
- Huduma ya haraka na ya kitaalamu.
- Kujali mahitaji na kuridhika kwa wateja.
BIDHAA BORA KWA UHAI WA ENGINE YAKO
Fama Products – Quality You Can Trust.
Explore Fama Products's products
Browse selected products and services. Open details for more information before checkout.
Fama products