Tall Welding and Fabrications
Hq |Ilala, Dar es Salaam
TALL WELDING AND FABRICATION
QUALITY. STRENGTH. INNOVATION.
KUHUSU SISI
TALL WELDING AND FABRICATION ni kampuni ya kitaalamu inayojihusisha na utengenezaji wa mashine za kuongeza thamani za mazao pamoja na huduma za fabrication ya miundo ya chuma kwa ubora wa hali ya juu.
Tunatoa suluhisho za kisasa kwa wakulima, viwanda, wafanyabiashara na taasisi mbalimbali kwa kutumia teknolojia ya kisasa na utaalamu wenye viwango vya kimataifa.
HUDUMA ZETU
• Utengenezaji wa mashine za kuongeza thamani za mazao
• Fabrication ya miundo ya chuma
• Ukarabati na matengenezo ya mashine
• Ushauri wa kiufundi na ubunifu
• Utengenezaji wa mashine maalum kulingana na mahitaji ya mteja
DHAMIRA YETU
Kutoa bidhaa na huduma bora zinazosaidia kuongeza uzalishaji, ufanisi na maendeleo ya viwanda na kilimo Tanzania na Afrika Mashariki.
DIRA YETU
Kuwa kampuni kinara katika utengenezaji wa mashine na fabrication kwa kutumia teknolojia ya kisasa na ubunifu wa hali ya juu.
KWANINI UTUCHAGUE
• Ubora wa hali ya juu
• Teknolojia ya kisasa
• Huduma bora kwa wateja
• Bei nafuu na ushindani
• Uaminifu na uzoefu
MAWASILIANO
📍 Sido Industrial Area, Dar es Salaam, Tanzania
📞 Simu: 0716730991
💬 WhatsApp: 0752730991
Explore Tall Welding and Fabrications's products
Browse selected products and services. Open details for more information before checkout.