ZEYN PRODUCT
Hq |TABORA MANISPAA, Tabora
ZEYN PRODUCT; Tunahusika na uzalishaji wa bidhaa za usindikaji na mazao mbalimbali ya asili , Tunashughulika na usindikaji wa mazao yatokanayo na misitu kama vile; Asali, na tunafanya uzalishaji wa asali ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo pia tunahusika na uzalisjhaji wa amla na katika zao hili tunafanya uchajkataji na uongezaji thamani wa zao hilo, pia tunahusika na usindikaji wa mazao ya kilimo kama vile karanga na mazao kama vile matembele ya kukausha na vingine vingi; KARIBUNI SANA ZEYN PRODUCT TABORA
Explore ZEYN PRODUCT's products
Browse selected products and services. Open details for more information before checkout.
PILIPILI
UNGA WA TANGAWIZI
TANGAWIZI YA ASALI
TANGAWIZI YA ASALI
UNGA WA MRONGE
AMLA